JE UNAFAHAMU KWAMBA WANAMITINDO KIM KARDASHAN NA AMBER ROSS WAMEZALIWA TAR NA MWEZI UNAOFANANA? LEO NI BIRTHDAY ZAO.

Mwanamitindo Maarufu na mwenye mvuto wa kipekee Kimberly Noel
Kardshan A.K.A “Kim Kardashian” ambaye ni mama wa mtoto mmoja ‘North
West’ aliyezaa na Rapa Kanye West amezaliwa Tarehe na mwezi kama wa leo
21/10 mwaka 1980 katika jiji la Los Angels California hivyo leo
anatimiza nyundozz 33.

Kim K aliaanza kupata umaarufu mwanzoni mwa mwaka 2007
alipokuwa rafiki kipenzi wa Paris Hilton na baada ya Mkanda wa video
uliovuja kati yake na mdogo wake Brandy Ray J, cha kushangaza ni kwamba
Kim Kardashan amezaliwa Tarehe na mwezi sawa kama aliozaliwa
Mwanamitindo Amber Levonchuck maarufu kama ‘Amber Rose’ ambaye
nae aliwahi kutoka kimapenzi na rapa Kanye West miaka kadhaa iliyopita
kabla ya kuangukia katika mikono mwa mTaylor Gang ‘Wiz Khalifa’ na
kuamua kufunga ndoa ambayo ilizaa matunda baada ya kupata mtoto mmoja
waliyempa jina la ‘Sebastian’, Kwa ufupi Amber Rose alizaliwa Tarehe 21
Mwezi wa 10 mwaka 1983 ivyo leo anatimiza nyundozz 30 kamili.

Post a Comment