Header AD

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU, MHASHAM RAYMOND MWANYIKA ILIYOFANYIKA MKOANI NJOMBE LEO.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua juu ya kaburi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. Picha na OMR.
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. 
  Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akitoa heshima za mwisho.
Reviewed by crispaseve on 22:51 Rating: 5

No comments

Post AD