NDOVU SPECIAL MALT ILIVYO KUTANA NA WADAU WAKE KATIKA CRYSTAL BAR JIJINI MWANZA
Baadhi
ya wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa katika foleni ya kuingia katika
taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa kinywaji cha Ndovu ijulikanayo
kama Ndovu Crystal Bar iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Crest ya
jijini humo mwishoni mwa wiki.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akipiga picha ya kumbukumbu
kabla ya kuingia katika taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa kinywaji
cha Ndovu ijulikanayo kama Ndovu Crystal Bar iliyofanyika katika Hoteli
ya Gold Crest ya jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Baadhi
ya wakazi wa Jiji la Mwanza wakipiga picha za kumbukumbu kabla ya
kuingia katika taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa kinywaji cha
Ndovu ijulikanayo kama Ndovu Crystal Bar iliyofanyika katika Hoteli ya
Gold Crest ya jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Burudani
ya Muziki ikitolewa katika taafrija hiyo maalum kwa wateja na wapenzi
wa kinywaji cha Ndovu ijulikanayo kama Ndovu Crystal Bar iliyofanyika
katika Hoteli ya Gold Crest ya jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Post a Comment