(NEW AUDIO) MADEE - TEMA MATE TUWACHAPE
Rais wa Manzese, Shnayda, Madee mzee wa pombe yangu, inaonekana amesha
lielewa soko kila akitoa ni hit, check na hii baada ya Pombe yangu,ni
Tema mate tuwachape, Producer Macko Chali pale Mj Rec,...
Isikilize hapa then utajua kama sasa kweli madee ni zamu yake: Its nice song inachezeka Club kama kawaida;
Isikilize hapa then utajua kama sasa kweli madee ni zamu yake: Its nice song inachezeka Club kama kawaida;
Reviewed by crispaseve
on
07:20
Rating:

Post a Comment