Header AD

NHC yajidhatiti kukabiliana na changamoto ya makazi nchini.

 Meneja Huduma kwa Jamii toka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw.Muungano Saguya akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu hatua zinazochukuliwa na Shirika hilo kutatua tatizo la makazi hapa nchini ikiwa ni pamoja na mkakati wa miaka 5 wa utakaohusisha ujenzi wa nyumba 15,000,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Bw. Frank Mvungi.
Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Willium Genya akitoa wito wa wananchi kupitia waandishi wa habari(hawapo pichani) kujitokeza kununua nyumba hizi ili kwa pamoja kusaidiana kuondoa tatizo la makazi nchini,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Huduma kwa Jamii toka Shirika hilo Bw.Muungano Saguya.

Picha na Hassan Silayo-MAELEZO.
Reviewed by crispaseve on 22:45 Rating: 5

No comments

Post AD