Header AD

Picha, Beyonce Akining'inia Kwenye Moja Ya Majengo Marefu New Zealand

 Beyonce alivyokuwa kwenye ziara yake kwenye kisiwa cha New Zealand alipata nafasi ya kwenda kwenye moja ya majengo marefu kisiwani  humo yanayo toa huduma ya kupoteza Uwoga wa Anga. Beyonce alifungwa kamba sehemu muhimu kwenye mwili wake zitakazo weza kumshika wakata anashuka kwa kamba kwenye jengo hilo. Beyonce alivyokamilisha safari hii anasema kwa sasa hana hofu ya anga tena

Picha Zaidi Hapa
Reviewed by crispaseve on 03:38 Rating: 5

No comments

Post AD