Picha, Muonekano Na Mavazi Ya Ciara Yapelekea Uvumi Kuwa Ana Ujauzito
Msanii wa Rnb Ciara anaye husishwa kimapenzi na msanii mwenzake Future
ameonekana na muonekano tofauti hivi karibuni baada ya kubadilisha style
yake ya mavazi na muonekano wake mbele za watu na kwenye show.
Reviewed by crispaseve
on
03:50
Rating:


Post a Comment