PICHA ZA RIHANNA AKILA BATA KWA KUTALII KATIKA MBUGA ZA WANYAMA NCHINI AFRIKA KUSINI
Rihanna A.K.A Bad Gal yupo katika ziara yake ya muziki
katika nchi ya Afrika Kusini lakini hakuishia kufanya show tuu bali
aliweza kupata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali viloivyopo nchini
humo ikiwemo mbuga ya wanyama na kuweza kupiga picha na wanyama
mbalimbali kama Mtoto wa Simba na twiga na kisha kupost katika mtandao
wa Instagram na kutumia hashtag ya #MamaAfRIHc katika picha hizo, Tazama
picha zake chini;


Post a Comment