Header AD

Rick Ross Asema Album Mpya Ya Dj Khaled Ndio Album Bora Ya Mwaka 2013

 
Rapper na mwanzilishi wa record lebel ya MMG Amesema anakubali na kuamini kwa asilimia 100 kuwa album mpya ya dj mkubwa duniani Dj Khaled ndio album bora mwaka huu.  Sijui kama ndio mashavu au promo ya album ya mshikaji wake ila Rozay ambaye pia ana album mpya inayokuja hivi karibuni amejikuta akifunguka haya kuhusu cd ya mwenzake.
Reviewed by crispaseve on 03:49 Rating: 5

No comments

Post AD