Header AD

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA VIBANDA VYA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA, IRINGA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko wakati anawasili katika viwanja vya maonesho ya Wiki ya Vijana uwanja wa Mlandege, Iringa
 Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
 Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
 Banda la bodi ya Filamu
 Rais Kikwete akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na vijana
Reviewed by crispaseve on 13:57 Rating: 5

No comments

Post AD