Mwili
wa aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi
wa Polisi, James Kombe, ukiondolewa kanisani katika kanisa la KKKT,
usharika wa Msae kuelekea Nyumbani kwake kwa ajili ya zoezi ya Maziko
yaliyofanyika Jana, kijijini Msae, kata ya Mwika, wilaya ya Moshi
Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, kanda ya
Kaskazini, Dkt. Martin Shao akiendesha Ibada ya Maziko ya aliyekuwa
Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi,
James Kombe, aliyefariki dunia Oktoba 21 mwaka huu, Jijini Dar es salaam
na Kuzikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya
ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akitoa heshima za mwisho katika
Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna
Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji
cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa
wilaya ya Hai, Novatus Makunga (wakwanza) na Mkuu waWilaya ya Moshi,
Dkt. Ibrahimu Msengi (wa pili) wakitoa heshima zao za mwisho katika
Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna
Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji
cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda
wa Polisi mkoanbi Kilimanjaro, ACP-Robert Boaz akitoa Salamu za
Rambirambi kwa niaba IGP Said Mwema katika ibada ya Maziko ya aliyekuwa
Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi,
James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya
Mwika,wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.CHANZO MATUKIO
MICHUZI BLOG
Mke wa
Marehemu, Maria Kombe (katikati) pamoja na watoto wake wakifuatilia
ibada ya Maziko ya Mume wake, aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama
Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana
Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi
Vijijini,mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (katikati), Kamanda wa Polisi Mkoani
Kilimanjaro, Robert Boaz (kulia) na Kaimu kamanda wapolisi mkoani
Kilimanjaro, Moita Koka, wakitoa heshima za mwisho katika Jeneza la
aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa
Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae,
Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Askofu
Mkuu wa KKKT kanda ya Kaskazini, Dkt. Martin Shao, akiweka Ua katika
Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna
Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji
cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akiweka Ua katika Kaburi la
aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa
Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae,
Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda
wa Polisi kilimanjaro, Robert Boaz na Kamanda wa Polisi Arusha,
Liberatus Sabas (mwenye suti) wakiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi,
James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya
Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Mke wa
Marehemu, Maria Kombe, akiweka Ua katika Kaburi la Marehemu mume wake,
aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa
Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae,
Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Wanafamilia
wakiweka Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama
Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana
Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi
Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Watoto wa
Marehemu Kombe, wakiongozwa na Kaka yao, Dustan Kombe kuweka Ua katika
Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna
Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji
cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Jaji wa
Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Aisha Nyerere,akiweka
Ua katika Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani,
Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani
kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani
Kilimanjaro.
Askari wa
Jeshi la Polisi, wakitoa Heshima za mwisho katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi,
James Kombe, kwa Mujibu waTaratibu zaKijeshi. Kombe alizikwa Jana
Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi
Vijijini, mkoani Kilimanjaro. picha zote na Taifa Letu.com blog
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
MKUU wa
Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama, amewaongoza Maelfu ya waombolezaji
katika mazishi ya Aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani,
Kamishna mstaafu, James Kombe (63), aliyefariki dunia October 21 mwaka
huu katika Hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es salaam baada ya
kuugua kwa muda mrefu.
Kombe aliyeitumikia Jeshi la Polisi kwa muda wa miaka 24, katika nyadhifa mbalimbali, alizikwa jana saa 9:40, alasiri, Nyumbani kwake katika kijiji cha Msae, kata ya Mwika, Jimbo la Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini, mkoani Kilimanjaro baada ya ibada ya maziko iliyofanyika katika Usharika wa Msae-Lyakrima na kuongozwa na Askofu Mkuu wa KKKT,
dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Martin F. Shao.
Akitoa Salamu za Rambirambi, Gama alisema serikali imeguswa na msiba huo huku akimuelezea Marehemu Kombe kama mtu muadilifu, mwaminifu na mtu asiyekuwa, asiyekuwa na ubinafsi na mzalendo aliyeitumikia Taifa lake kwa nguvu zake zote hadi dakika za mwisho za uhai wake.
“Ni kweli mazingira yetu kikazi yanatofautiana, lakini ni wazi kuwa kuna mengi ya kujifunza na kujivunia kutoka kwa Kamishna Kombe enzi za uhai wake, Marehemu ameacha historia iliyotukuka nyuma yake, alikuwa ni mtu mwadilifu sana, mwaminifu, mzalendo na mchapa kazi aliyejitoleakulitumikia Jeshi la Polisi na Taifa kwa ujumla,” alisema
Gama.
Kuhusu swala la uwajibikaji na utendaji kazi, Gama alisema wananchi wengi kwa sasa wanashindwa kufanya kazi za maendeleo hasa mkoani Kilimanjaro katika maeneo ya Rombo, Marangu na Mwika kutokana na kukithiri kwa vitendo vya Unywaji pombe holela ambapo aliagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha wanasimamia na kudhibiti hali hiyo.
Awali akiongoza Ibada ya Maziko, Askofu MKuu wa KKKT, dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Martin Shao, aliwataka waumini wa dini ya Kikristo, wananchi pamoja na watumishi katika Jeshi la Polisi kufanya yale yaliomema ikiwa kweli
wanataka kuenziwa kama ilivyo kwa Marehemu Kombe.
Dkt. Shao katika ibada hiyo alimuelezea Marehemu Kombe kama mtu anayestahili kuenziwa daima kama anavyoenziwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutoka na utendaji wake kazi uliotukuka, uzalendo na Uadilifu pamoja na uwajibikaji katika kuhakikisha Amani ya Tanzania na usalama wa Wananchi wake.
Kabla ya kifo chake, Kamishna Kombe, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kansa ambao ulianza kumsumbua Juni mwaka jana na kutibiwakatika Hospitali ya Rufaa KCMC mjini Moshi.
James Kombe, aliyezaliwa mwaka 1950, mwika Kilimanjaro ameacha mjane mmoja, Maria Kombe na watoto watano na kwamba alilitumikia Jeshi la polisi kuanzia Machi, mwaka 1970 na kulitumikia mpaka alipostaafu mwaka 2010.
Akisoma historia ya Marehemu, Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani, Joseph Mwakabonga alisema Kamishna Kombe, alijiunga na Mafunzo ya awali machi 23 mwaka 70 na kumaliza Agosti 28 mwaka huo, huko Mopshi baada ya kuhitimu elimu ya sekondari mwaka 1969 nchini Uganda.
Alisema alipandishwa vyeo kama Mkaguzi wa polisi (1977), Kamishna msaidizi (1995), Mkaguzi wa polisi (1986), mrakibu mwandamizi (1991) na Kamishna Msaidizi wa Polisi (2002) hadi alipostaafu 2010.

Reviewed by crispaseve
on
08:15
Rating:
Post a Comment