THE GAME ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA CASH MONEY RECORDS.

Rapa ‘The Game’ kutoka West Coast amedhibitisha kujiunga na
record label ya Cash Money inayomilikiwa na Brayan Adam A.K.A ‘BIRDMAN’ ,
ishu iyo iliweza kusambaa katika mitandao mbalimbali ya habari kupitia
mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya Birdman kutweets kuwa The Game
amesajiliwa rasmi kuwa mwanafamilia ya Cash Money na The Game kurespond, Tazama tweets hizo hapo chini.


Post a Comment