(VIDEO) CHIDY BENZ AONGELEA VITU VINGI SANA HUMU:
Msanii kutoka ilala anaae husishwa na BiFu nyingi sana na wasanii wenzake RASHID a.k.a Chidy Benz,
amefanya show ya mkasi juma tatu iliyopita akiwa na Salama Jabir,Muba
na wengne, Kwenye kipindi icho Chidi ameongea vitu vingi vilivyowahi
kuzungumzwa kuhusu yeye na inawezekana pia Chidi Benzi akawa ni mtu
Mstaarabu Kuliko unavyofikiria,(Ninavyo hisi mimi) Ukiangalia Show hii
utagundua ilo, sema kuna Baadhi ya Mambo tuu ambayo huwa anakosana na
watu anaogombana nao, Kama hukuicheki hii show iangalie hapa na
umskilize Chidi Mfalme wa Ilala;
Reviewed by crispaseve
on
06:53
Rating:


Post a Comment