Header AD

Washiriki wa Tiketi za VIP Serengeti Fiesta 2013 Waendelea 'Kula Bata' Jijini Dar.

IMG_0185
IMG_0159
IMG_0147
Pichani juu ni baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakipata picha ya Ukumbusho baada ya kuwasili kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai ya jiji na kampuni ya SBL inayowezesha Tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
IMG_0166
Baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakipata maakuli ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam jana usiku, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai na SBL.
IMG_0100
Washehereshaji wa afla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya Bia ya Serengeti wakitoa matangazo kwa washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta baada ya kuwasili kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam jana usiku.
IMG_0089
IMG_0064
IMG_0063
Baadhi ya washindi hao wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakiendelea kula bata ndani ya kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam.
IMG_0053
IMG_0044
Burudani anuai zikiendelea kwa washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Dar Live.
IMG_0022
IMG_0018
IMG_0013
Baadhi ya washindi ya hao wakiwa Dar Live jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai ya jiji na kampuni ya SBL inayowezesha Tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
IMG_0002
Promosheni mbalimbali zikiinadi Bia ya Serengeti ziliendelea wa washindi hao na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. Hapa ilikuwa ni nunua bia tatu za Serengeti kisha upewe moja bureeeeee....! Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalodhaminiwa na SBL kupitia bia yake ya Serengeti linafanyika leo viwanja vya Leaders Club kuanzia saa 12 za jioni.
Reviewed by crispaseve on 08:45 Rating: 5

No comments

Post AD