Header AD

BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT




Bondia Twalibu Mchanjo akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mchanjo alishinda kwa pooint.
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aenderee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kwenda sakafuni.
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa, hata hivyo alirudi ulingoni kupambana,Mchanjo alishinda kwa point .
BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT  BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT Reviewed by crispaseve on 08:17 Rating: 5

No comments

Post AD