Diamond na Crew yake nzima ya wasafi wakitoka katika hoteli waliyofikia. Palikuwa hapatoshi aisee.. Pichani ni binti ambaye alishindwa kujizuia na kuamua kwenda kumsalimia Rais wa Wasafi jijini Mwanza.
Post a Comment