Picha:Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Achukua Fomu Rasmi

Picha juu na Chini ni Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega akiongozwa na pikipiki na wapenzi na wafuasi mbalimbali wa chadema kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo leo

Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Akipokea fomu kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka leo.
Picha:Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Achukua Fomu Rasmi
Reviewed by crispaseve
on
06:49
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
06:49
Rating:

Post a Comment