Bw.
Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha
la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema
utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu waimbaji
wote watakaoshiriki watapigiwa kura na mashabiki wa muziki wa injili ili
kuleta ushindani kati ya waimbaji lakini pia kuwaachia mashabiki
wenyewe wachague ni mwimbaji gani wanamuhitaji katika tamasha hilo
badala ya kutumia utaratibu wa mwanzo.Bw.
Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha
la Pasaka akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa
habari kutoka TV Tumaini ya jijini Dar es salaam.
Tamasha la Pasaka ndiyo tamasha pekee kubwa la muziki wa inijili
linalofanyika kila mwaka nchini Tanzania likishirikisha waimbaji
mbalimbali kutoka ukanda wa Maziwa Makuu, Afrika Mashariki na Kusini mwa
Afrika na limekuwa ni kivutia kikubwa kwa mashabiki na wapenzi wa
muziki wa injili.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
WANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA NA MASHABIKI
Reviewed by crispaseve
on
09:27
Rating: 5
Post a Comment