Header AD

BERNARD MWAKASANGA AJIFUA KUMKABILI IDI BONGE MARCH 23

Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa frends corner Manzese March 23.
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag up cat kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese March 23 .


Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 .

Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akinua chuma  kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BERNARD MWAKASANGA AJIFUA KUMKABILI IDI BONGE MARCH 23 BERNARD MWAKASANGA AJIFUA KUMKABILI IDI BONGE MARCH 23 Reviewed by crispaseve on 01:11 Rating: 5

No comments

Post AD