Header AD

MTEMVU AONGOZA MKUTANO MKUU WA KATA YA 14 TEMEKE


Mbunge wa Jimbo la TemekeAbbas Mtemvu  akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kata ya 14(CCM) Mohamedi Kidungu

Diwani kata ya Tandika Mariam Mtemvu (kushoto) akisikiliza kwa makini , alipokua akizungumza Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya 14 Temeke

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha  Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha  Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki 

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu akianyesha kadi ya mwanachama huyo na akiwa anavishwa Tisheti na Katibu Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya .
MTEMVU AONGOZA MKUTANO MKUU WA KATA YA 14 TEMEKE  MTEMVU AONGOZA MKUTANO MKUU WA KATA YA 14 TEMEKE Reviewed by crispaseve on 22:48 Rating: 5

No comments

Post AD