Header AD

Angalia Lugha ya Kiswahili Inavyopanda Chati , Mwanamuziki P Diddy Aitumia

Screen Shot 2014-08-02 at 7.30.26 AM
Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram kumuenzi Mzee Mandela baada ya kifo ambapo baada ya kumsifia aliandika mwishoni ‘madaraka kwa watu’



Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuandikia hashtag ya #SIMBA.
Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.16 AM
Angalia Lugha ya Kiswahili Inavyopanda Chati , Mwanamuziki P Diddy Aitumia  Angalia Lugha ya Kiswahili Inavyopanda Chati , Mwanamuziki P Diddy Aitumia Reviewed by crispaseve on 05:36 Rating: 5

No comments

Post AD