Makalla Akagua Ujenzi wa Bwawa Kubwa la Maji Chole Wilayani Kisarawe
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (katikati), akizungumza baada ya
kukagua bwawa la kuhifadhia maji ya mvua kwa ajili ya matumizi ya
wananchi wa vijiji vya Chole na Kwala, wilayani Kisarawe mkoani Pwani
leo. Bwawa hilo linalotarajia kukamilika mwezi ujao ambalo limejengwa
kwa gharama ya sh. Bilioni 1.5, litakuwa na uwezo wa kutoa lita milioni
250 kwa mwaka. Kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Selemani
Jaffo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Makalla akikagua ujenzi wa bwawa hilo la Chole
Bwawa la Chole linalojengwa na kampuni ya kitanzania ya Kika
Makalla akikagua kisima kipya cha Kimani wilayani Kisarawe
Wananchi wakiangalia wakati Naibu Waziri wa Maji, Makalla, akipampu maji wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji katika Kijiji cha Mengo, wilayani Kisarawe.
Makalla akimtwisha ndoo ya maji Zena Mwinyihija baada ya kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mengo, wilayani Kisarawe.
Makalla akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Jaffo baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji katika Kijiji cha Chole, wilayani Kisarawe.
Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Makalla akihutubia baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Tanki la maji katika Kijiji cha Chole.
Naibu Waziri Amos Makalla akisaidiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Jaffo kufunua pazia wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Tanki la Maji katika Kijiji cha Chole. Tanki hilo liltakuwa linahifadhi maji kutoka bwawa kubwa litakalokuwa linahifadhi maji ya mvua.
Katibu wa Bodi ya Maji ya Kijiji cha Chakenge, wilayani Kisarawe, Pwani, Fatuma Chambuso akisoma taarifa ya usimamizi wa mradi wa maji uliozinduliwa na Naibu Waziri wa Maji katika Kijiji hicho
Wananchi wa Kijiji cha Chakenge wakifurahia uzinduzi wa mradi wa maji kijijini hapo
Mwenyekiti wa Kijiji cha Chakenge, Mohamed Ndege akimkabidhi zawadi ya mbuzi Naibu Waziri Makalla.
Wananchi wa Kijiji cha Chakenge, wilayani Kisarawe wakicheza muziki wa Mweanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platinamuz' wakifurahia kuzinduliwa kwa mradi wa maji uliofanywa na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia) akiungana na wananchi kucheza muziki mpya mdogo mdogo wa Mwanamuziki Diamond, baada ya kuzindua mradi wa maji katika Kijiji cha Chakenge, wilayani Kisarawe, Pwani. PICHA ZOTE NAN KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Reviewed by crispaseve
on
05:28
Rating:
Post a Comment