PSPF WAFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA, DAR NA PWANI
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao
kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji
na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu
ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.
Profesa
Hermans Mwansoko, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa
kikao kazi cha siku moja kwa maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri na
Manispaa za Dar es Salaam na Pwani, kilichoandaliwa na Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es
Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015
Meneja Masoko na Mawasiliano, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Contatina Martin, akizungumza kwenye kikao hicho
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao
kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji
na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu
ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.
Gabriel
Silayo, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel
Silayo, akitoa mada kuhusu uwekezaji wa Mfuko huo, wakati wa kikao kazi
hicho
PSPF WAFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA, DAR NA PWANI
Reviewed by crispaseve
on
01:12
Rating:
Post a Comment