KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
Daktari
Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima
wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni
muandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa Tanzania akielezea umuhimu wa
kutunza Mazingira wanapokuwa Hedhi na kuithamini miundombinu.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko
ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa
wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students Shule
ya Sekondari ya St. Anthony.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony wakiwa wanafuatilia kwa makini Semina hiyo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony wakifurahia Pads za
Glory walizopewa ikiwa ni ishara ya kusherehekea sikukuu ya Hedhi
Duniani.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St.Anthony wakifurahia zawadi za Glory Pads baada ya Semina.
Kufahamu zaidi juu ya Hedhi salama Bofya www.hedhisalama.com
Kufahamu zaidi juu ya Hedhi salama Bofya www.hedhisalama.com
KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
Reviewed by crispaseve
on
06:35
Rating:
Post a Comment