MSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Ekimu kwa Umma cha Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Abel Swai sehemu ya fulana 3,800, kofia 2,800 na stika kwa ajili ya Maadhinisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani itakayoanza .Agosti 3 hadi 7 jijini Tanga. TBL imedhamini maadhimisho hayo kwa sh. mil 124, ambapo madereva wa masafa marefu watapimwa afya zao pamoja na kuwapatia mafunzo waendesha bodaboda 300. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Ekimu kwa Umma cha Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi,
Abel
Swai moja ya vyeti watakavyokabidhiwa madereva wa masafa marefu
watakaopimwa afya zao wakati wa Maadhinisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani itakayoanza .Agosti 3 hadi 7 jijini Tanga. TBL imedhamini
maadhimisho hayo kwa sh. mil 124, ambapo pia mafunzo yataendeshwa kwa
bodaboda 300. Makabidhiano hayo ya stika, fulana na kofia na vyeti
yalifanyika Dar es Salaam
Dorris Malulu wa TBL akikabidhi Stika kwa Abel Swai
Makasha yenye kofia, fulana na stika yakipakiwa kwenye gari la Polisi
MSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
Reviewed by crispaseve
on
03:27
Rating:
Post a Comment