LANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI
Dkt Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa
vipimo kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa
wengi wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi.
Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Josephat Bniface
akizungumza jambo katika warsha hiyo ya siku moja iliyoenda sanjari na
ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet iliyofunguliwa mjini Moshi.
Mtafiti
wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na
wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa
warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi
kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.
Baadhi
ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa
Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na
Dkt Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano
wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
LANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI
Reviewed by crispaseve
on
01:54
Rating:
Post a Comment