BREAKING NUUUUUUUZ: NDEGE YA KAMPUNI LA ATC YAPATA AJALI MUDA SI MREFU KIGOMA
TAARIFA TULIZO POKEA MUDA HUU KUTOKA KIGOMA ZINASEMA NDEGE YA SHIRIKA LA ATC IMEPATA AJALI MUDA MCHACHE ULIO PITA, CHANZO CHA AJALI HAKIJA FAHAMIKA. HAKUNA ALIYE JERUHIWA KATIKA AJALI HIYO.
ENDELEA KUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

Post a Comment