Header AD

MANENO OSWARD ANYAKUA NGAO YA PASAKA ILIYOTOLEWA NA DAR LIVE KWA KUMDUNDA RASHIDI MATUMLA

Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana
ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea ngao ya
pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar LIve Maneno alishinda kwa pointi
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo
bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr
es salaam jana Nganda alishinda kwa point.(PIcha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
)

Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Sedoyeka Thomas na Mratibu wa
burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya
pasaka. Bondia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla kwa
pointi Dar es salaam jana (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Reviewed by crispaseve on 06:13 Rating: 5

No comments

Post AD