REBECCA MALOPE, SOLOMON MUKUBWA, EPHRAEIM SKELETI WAWASILI LEO KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA
Msanii wa muziki wa injili kutoka Zambia, Ephraeim Sekeleti, akiimba kwa hisia wimbo wake wa lugha ya kiswahili |
Rebecca akiwasili Uwanja wa Ndege, huku akilakiwa na msanii mchanga wa nyimbo za injili, Gloria Kilailo (6) |
Mwaandaji wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akielezea ujio wa wasnii hao |
Malope akiwa amembeba mtoto wa Msama |
Post a Comment