BREAK NEWS MSANII MAARUFU NCHINI TANZANIA DIAMOND PLATNUM HOI KWA MAUMIVU YA KIFUA AFIKISHWA HOSPITALI NA KUPUMZISHWA....
![]() |
Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo vyake yatatoka kesho. ... Miezi ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu. Kupitia Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa." |

Post a Comment