UZINDUZI WA BANCABC LIGI YA SUP8R
Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC, Bon Nyoni (kulia), akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani, kombe litakaloshindaniwa na timu 8 katika hafla ya uzinduzi Dar es Salaam jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Saad Kawemba akielezea vigezo vilivyotumiaka kupata timu 8 zitakazoshiriki michuano hiyo Viongozi wa BancABC (kushoto) na TFF wakiwa na Kombe litakalowaniwa na timu hizo Baadhi ya wageni waalikwa walishiriki katika uzinduzi huo uliofanyika katika Hoteli ya JB Bolmonte, Dar es Salaam
Ratiba ikionesha jinsi mambo yatakavyokuwa
Baadhi ya wana habari walioshiriki kuripoti tukio hilo. Michuano hiyo inaanza leo katika vituo vya Dar es Salaam, Zanzibar, Arusha na Mwanza |
Post a Comment