SUPER D AENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MCHEZO WA MASUMBWI BURE KWA VIJANA
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi yakupangua ngumi za mpinzani wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi kupiga ngumi za tumbo huku akiwa ameingia ndani kwa mashambulizi zaidi wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwaelekeza vijana waliojitokeza katika mazoezi jinsi ya kupiga ngumi za tumbo na kuingia ndani kwa mashambulizi zaidi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Post a Comment