MKUTANO WA SADC LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya Kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya
Kusini, Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia na Katibu Mkuu wa SADC
Dk.Tomaz
Salomao pamoja na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa
kikao
kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya
Serena
jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya Kikwete, katika picha ya pamoja na
viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya
hiyo
katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012.
PICHA ZOTE
NA IKULU, DAR ES SALAAM,TANZANIA.

Post a Comment