Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama
ya nchi za Jumuiya uchumi na maendeleo ya Kusini (SADC) Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini
ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa SADC
Dr.Tomaz Salomao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na
Usalama ya nchi za Jumuiya uchumi na maendeleo ya Kusini (SADC) Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika
ya Kusini ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa
SADC Dr.Tomaz Salomao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama
ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete( Wanne Kushoto) akiwa na
viongozi SADC waliopo katika kamati hiyo.Wengine katika picha ni Rais Wa
Afrika ya Kusini Jackob Zuma(Watatu kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba
wa Namibia(kulia),Rais Mstaafu wa Msumbiji ambaye pia ni msuluhishi
wa SADC kwenye mgogoro wa Madagaska, Joachim Chissano(wapili kushoto)
na kushoto ni Katibu mkuu wa SADC Dkt.Tomaz Salomao.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment