MULUGO AZINDUA OFISI YA WAENDESHA BAJAJI NA KUCHANGIA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MOJA KUTUNISHA MFUKO WAO WA KUSAIDIANA
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo akikata utepe kuzindua na kufungua ofisi ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya eneo la isanga |
Naibu waziri Mlugo akishangiliwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji mkoa wa Mbeya mara baada ya kuzindua ofisi yao |
Katibu mkuu wa chama cha waendesha bajaji mkoa wa mbeya Ernest Mwaisango akisoma risala kwa mgeni rasmi |
Mwenyekiti wa chama cha waendesha bajaji Iddi Ramadhani akimkaribisha mgeni rasmi |
Kabla ya kuanza kuhutubia Mweshimiwa Mulugo akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mwenyekiti wa waendesha bajaji Iddi Ramadhani ilikuboresha mfuko wao wakusaidiana |
Mulugo akimkabidhi mwenyekiti wa waendesha bajaji jumla ya shilingi laki nne kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi kwa mwaka mzima |
Pia mweshimiwa Mulugo alitoa kiasi cha shilingi laki tano kwa chama cha waendesha bodaboda mkoa wa mbeya hapa akipena mkono na makamu mwenyekiti wa chama hicho Fredy Mwambene |
Nae mc na mwandishi wa habari Chales Mwakipesile mwenye suti ameahidi kukipatia chama hicho kompyuta ya kisasa |
Hapa mweshimiwa Mulugo akishirikiana na waendesha bajaji katika kucheza na kufurahia uzinduzi wa ofisi hiyo |
Mweshimiwa naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi akiwahutubia wananchi waliofika katika uzinduzi huo |
Mara baada ya kumaliza hotuba yake akisindikizwa na wanachama wa chama cha waendesha bajaji kwenda kupanda bajaji na kumrudusha akapumzike |
Safari ya kwenda kupumzika imewadia anarudishwa na bajaji hadi kwakwe Mbeya yetu |
Reviewed by crispaseve
on
08:25
Rating:
Post a Comment