Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya super brand kutoka kwa
mkurugenzi wa super brand East Africa Jawad Jaffer.
Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Mark Wiessing akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kussaga (Kulia) na Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano wa NMB Imani Kajula.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014
Post a Comment