Header AD

Airtel yamzawadia mkazi wa Rufiji millioni 15 kupitia promosheni ya Amka millionea


 Mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame akionyesha  mfano wa hundi ya shilingi million 15 mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani.

 Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea  bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
Reviewed by crispaseve on 09:48 Rating: 5

No comments

Post AD