BREAKING NEWSSS ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BASI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA WANUSURIKA KUFA KWENYE AJALI ILIOTOKEA MPAKANI MWA SONGWE NA MBOZI MBEYA
MOJA YA MAJERUHI BENO GILBET MKAZI WA ZANZIBAR ALIKUWA ANATOKEA SUMBAWAGA KWENDA ZANZIBAR SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TEULE YA IFISI |
MAJERUHI MUSA KAPINUKE |
MAJERUHI CHALES KAUZENI 15 |
MUUGUZI ELMAT KAKAKU AMESEMA WAMEPOKEA MAJERUHI 47 KATI YA HAO WAWILI WAMEPELEWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA HALI ZAO KUWA MBAYA ZAIDI |
HABARI KAMILI YA AJALI HII TUTAWAFAHAMISHA BADO TUNAFUATILIA PICHA NA MBEYA YETU |
Post a Comment