HIVI NDIVYO BARABARA YA MLIMA WA IPOGOLO MJINI IRINGA ILIVYOPENDEZA
Hii ni barabara ambayo awali ilikuwa
ni chanzo kikubwa cha ajali kutokana na ufinyu ila sasa barabara
hii ya mlima wa Ipogolo imetengenezwa kwa kiwango cha kimataifa
inapendeza sana
kutengenezwa vema kwa barabara hii hata ajali za mara kwa mara zimepungua
Hili ni eneo la Kisima cha Bibi mlima Ipogolo.Picha zote na Francis Godwin Blog
Post a Comment