JENGO LA GHOROFA 15 LAPOROMOKA JIJINI DAR NA KUSABABISHA VIFO VYA BAADHI YA WATU Kamanda wa Kanda maalum ya Kipolisi mkoa wa Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova kulia akizungumza jambo na Mbunge wa kuteuliwa Mh. James Mbatia ambaye ameungana na wananchi wengine katika tukio hilo. Kwa picha Zaidi Zitawajia Hivi Punde
Post a Comment