TCRA, TAEC ZAWAELIMISHA WANAHABARI HALI YA MIONZI NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John
Nkoma (kulia) akifafanua jambo wakati wa semina ya wanahabari kuhusu
hali ya mionzi Tanzania, iliyofanyika Mkao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam
leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Teknolojia ya Mionzi wa Tume ya Mionzi
Tanzania (TAEC), Dk. Mwijarubi Nyaruba. (PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA)
Sehemu ya wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo ya uelewa wa hali ya mionzi nchini.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Mionzi wa Tume ya Mionzi Tanzania (TAEC),
Dk. Mwijarubi Nyaruba akielezea kuhusu matokeo ya utafiti wa hali ya
mionzi Tanzania wakati wa semina hiyo ya wanahabari.
Mtangazaji wa Times Radio FM, Scolastica Mazula akiuliza swali kuhusu athari zinazotokana na matumizi ya simu feki nchini.
Post a Comment