Header AD

DAR LIVE ILIVYOZIZIMA KWA BURUDANI ZA EID JANA.

Ommy Dimpoz akikamua ndani ya Dar Live.
...Mashabiki wakipagawa na Dimpoz.
Joh Makini 'Mwamba wa Kaskazini' akilishambulia jukwaa la Dar Live. Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo. Mwamba wa Kigamboni, Bahati Chaz ‘Mr B’ akishusha mistari ya hip hop Dar Live. Masai wa Kigoma akifanya makamuzi.
Baadhi ya mashabiki baada ya kupandisha mizuka.
Reviewed by crispaseve on 02:53 Rating: 5

No comments

Post AD