LAANA HII...!! BABA ADAIWA KUWABAKA NA KUWALAWITI BINTI ZAKE WAWILI WA MIAKA 10 NA 13 HUKO MARANGU MOSHI..
Baba mzazi wa mabinti wawili mkazi wa Kijiji cha Kiria Kata ya Mamba Kusini, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, amewabaka na kuwalawiti binti zake hao wenye umri wa miaka 10 na 13 na kuwajeruhi vibaya.
Kitendo
cha baba huyo kufanya unyama huo kimedaiwa kuwapandisha hasira kinamama
wa kijiji hicho walioamua kumkamata na kumpeleka Kituo cha Polisi Himo
huku wakitishia kumuua iwapo polisi watamwachia huru, kwa madai imekuwa
ni kawaida yao kila akifikishwa kituoni hapo kuhusiana na unyama
anaowafanyia watoto hao huachiwa.
Mwanamume
huyo anadaiwa kuwa na tabia ya kuwatendea vitendo hivyo wanaye hao kwa
muda mrefu, kutokana na ugomvi baina yake na mkewe uliosababisha mkewe
akimbie na kuwaacha watoto hao na baba huyo.
LAANA HII...!! BABA ADAIWA KUWABAKA NA KUWALAWITI BINTI ZAKE WAWILI WA MIAKA 10 NA 13 HUKO MARANGU MOSHI..
Reviewed by crispaseve
on
10:14
Rating:
Post a Comment