VIDEO: "WANASWA TENA WAKIVUNJA AMRI YA SITA" NDANI YA HOSTELI YAO | Wanachuo Kikuu Maarufu Tz
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, wameoza kwa matukio machafu ya ngono
Katika
uchunguzi wetu unaondelea mpaka sasa, Wapekuzi wetu wameendelea
kuusaka ukweli na kufanikiwa kunasa matukio mengi machafu yaliyopitiliza
ya vitendo vya ngono ambapo wanafunzi wawili wanaosoma chuo maarufu
jijini Dar es Salaam na wanaoishi katika hosteli maarufu ya....(hakuna
haja ya kutaja jina maana picha zinajieleza) walinaswa laivu wakifanya
uchafu ndani ya hosteli hiyo.
Data
zilizokamilika zinaonesha video ya tukio zima la "UCHAFU"walioufanya na
"KUUREKODI" wao wenyewe kwa hiari yao.Hivi sasa imekuwa ni mila na
desturi kwa wanafunzi wengi kuiga tamaduni chafu za nje na hatimaye
kutumia simu zao na wakati mwingine kamera na laptop kurekodi uchafu
waufanyao ndani ya hosteli zao.
Habari
za upekuzi wetu zinaonesha wazi kuwa wanafunzi wengi wa kike wamekuwa
wakijihusisha na vitendo haramu vya ngono rejareja na wanaume wakiwa
katika hosteli zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha..
Harakati
hizo za kujikomboa kimaisha zinawafanya kuwa watumwa wa mapenzi mithili
ya watu wanaojiuza na wakati mwingine hufanyishwa mapenzi kinyume na
maumbile yao kwa makubaliano ya pesa.
Hata
hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kuyatambua majina halisi
ya wanafunzi hao , isipokuwa ilifuma picha na video chafu za wanafunzi
hao wakiwa ndani ya majengo ya umma (hosteli)
Mbali
na matukio hayo yaliyosheheni katika makabrasha yetu, uchunguzi
umebaini kuwa, siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya
kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake
wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu vya ngono.
Imebainika
kuwa wanaoishi hosteli ndiyo wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana
uhuru wa kufanya hivyo bila kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao
madanguro.
VIDEO: "WANASWA TENA WAKIVUNJA AMRI YA SITA" NDANI YA HOSTELI YAO | Wanachuo Kikuu Maarufu Tz
Reviewed by crispaseve
on
14:06
Rating:
Post a Comment