Header AD

JA RULE NA 50 CENT WAKWEA PIPA(NDEGE) MOJA, BIFU KWISHINEI.


Tukio la marapa wawili ambao walikuwa mahasimu wakubwa, Ja Rule na Rapa anayewakilisha New York City 50 Cent kupanda katika ndege moja na kukaa Row moja imepata kuwa gumzo katika mitandao na vyombo mbalimbali vya habari huko majuu.
Chanzo kimoja cha habari kutoka majuu kimeeleza kwamba Ja Rule na 50 Cent walikwea pipa(Ndege) kwa ajili ya kwenda kushuhudia pambano la masumbwi na hakuna mkwaruzano ambao ulitokea baina yao richa ya kwamba walikaa katika row moja, katika kuonyesha kwamba tofauti zao zimekwisha Rapa Ja Rule aliamua kutweets kupitia mtandao wa Twitter na kusema kwamba ”What are the Chances me and 50 same flight same row no problems.!!!#GrownManShit” alifunguka ivyo.
Image
JA RULE NA 50 CENT WAKWEA PIPA(NDEGE) MOJA, BIFU KWISHINEI. JA RULE NA 50 CENT WAKWEA PIPA(NDEGE) MOJA, BIFU KWISHINEI. Reviewed by crispaseve on 21:20 Rating: 5

No comments

Post AD