LAANA, KICHAKA CHA NGONO:MADADAPOA WAKUTWA NA WATEJA WAO,WENGI NI WAKE ZA WATU NA MADENTI.....
UCHAFU unaendelea kufichuliwa! Safari hii Oparesheni Fichua Maovu
(OFM) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Temeke wamekifyeka
kichaka cha ngono maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar, Risasi Jumamosi
linakupa habari kamili.
Tukio hilo limetokea juzikati usiku wa manane baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuchoshwa na tabia za madadapoa hao waliokuwa wakifanya vitendo vichafu karibu na nyumba zao na kutoa taarifa kwa OFM. Kikosi hicho kiliwasiliana na Kamanda wa Polisi Kanda ya Temeke, Englebert Kiondo na kupewa askari wa Kituo cha Mbagala Kizuiani na kwenda kukifyekelea mbali kichaka hicho.
Kichaka hicho kilikuwa na akina dadapoa wenye umri wa kuanzia miaka
16 hadi 38 ambao walikuwa wakitoa huduma kwa wateja wao kwa shilingi
5,000 kwa raundi moja.
Mara baada ya polisi na timu ya OFM kufika eneo husika waliwakuta akina dadapoa wakiwa wamekaa tayari kwa ajili ya kutoa huduma hiyo.
Pia, kikosi hicho kilimkuta mteja mmoja akiwa anapewa huduma hiyo ndani ya kichaka hicho kilichotapakaa kila aina ya kondom katika kona zote.
Tukio hilo limetokea juzikati usiku wa manane baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuchoshwa na tabia za madadapoa hao waliokuwa wakifanya vitendo vichafu karibu na nyumba zao na kutoa taarifa kwa OFM. Kikosi hicho kiliwasiliana na Kamanda wa Polisi Kanda ya Temeke, Englebert Kiondo na kupewa askari wa Kituo cha Mbagala Kizuiani na kwenda kukifyekelea mbali kichaka hicho.
Kondom zikiwa zimezagaa eneo la tukio. |
Mara baada ya polisi na timu ya OFM kufika eneo husika waliwakuta akina dadapoa wakiwa wamekaa tayari kwa ajili ya kutoa huduma hiyo.
Pia, kikosi hicho kilimkuta mteja mmoja akiwa anapewa huduma hiyo ndani ya kichaka hicho kilichotapakaa kila aina ya kondom katika kona zote.
LAANA, KICHAKA CHA NGONO:MADADAPOA WAKUTWA NA WATEJA WAO,WENGI NI WAKE ZA WATU NA MADENTI.....
Reviewed by crispaseve
on
02:01
Rating:
Post a Comment