''NATEMBEA NA MUME WA DADA YANGU NA YEYE ANATAKA KUNIOA MIMI...'' USHAURI JAMANI SIJUI NIFANYAJE...!?
Mimi Msichana mwenye Umri wa miaka 23..Nimekuwa kwenye mahusiano na mume
wa dada yangu kwa mda wa miaka mitano sasa bila dada yangu
kufahamu.Kuna wakati huwa tunakaa pamoja yaani mimi, dada yangu na mme
wake, ila wakati mwengine huwa naamua kukaa mbali...
''NATEMBEA NA MUME WA DADA YANGU NA YEYE ANATAKA KUNIOA MIMI...'' USHAURI JAMANI SIJUI NIFANYAJE...!?
Reviewed by crispaseve
on
00:11
Rating:
Post a Comment