Picha,Mastaa Wanapojutia Kuwa Na Tattoo Mambo Kama Haya Hutokea
Producer Pharrell
Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati
anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho.
Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada ya tattoo kufutwa na mionzi
mikali kwenye mwili wake inayoweza kusababisha saratani na magonjwa
mengine.
Picha Zingine Ziko Hapa
Picha Zingine Ziko Hapa
Picha,Mastaa Wanapojutia Kuwa Na Tattoo Mambo Kama Haya Hutokea
Reviewed by crispaseve
on
07:52
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
07:52
Rating:


Post a Comment