Rapper Young Buck Wa G Unit Kurudi Tena Kwenye Rap Game Kwa Kasi.
Rapper Young Buck Wa G Unit kurudi tena kwenye rap game kwa kasi.
Baada ya kumaliza hukumu yake ya miezi 18 kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria Rapper Buck aliye wahi kuwa G Unit ameanza kazi na producer wake wa zamani wakati yuko na kundi hilo la 50 Cent. Producer Sha Money XL.
Young Buck ametoa rekodi mbili mpaka sasa ambazo ni Rage na Gettin Back
Baada ya kumaliza hukumu yake ya miezi 18 kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria Rapper Buck aliye wahi kuwa G Unit ameanza kazi na producer wake wa zamani wakati yuko na kundi hilo la 50 Cent. Producer Sha Money XL.
Young Buck ametoa rekodi mbili mpaka sasa ambazo ni Rage na Gettin Back
Rapper Young Buck Wa G Unit Kurudi Tena Kwenye Rap Game Kwa Kasi.
Reviewed by crispaseve
on
12:21
Rating:
Post a Comment