SIPIGI PICHA ZA UTUPU KUTAFUTA UMAARUFU: KOLETHA RAYMOND
| KOLETHA |
Msanii wa Bongo Movie Koletha Raymond alimaarufu kama Koletha ameyasema
hayo alipokuwa akizungumzia kusambazwa kwa picha ya utupu iliyodaiwa
kuwa yakwake mtandao sikukadhaa zilizopita na kudai kuwa sio picha yake
na yeye sio msanii anyetafuta umaarufu kupitia picha za utupu kama
wafanyavyo wasanii wengine.
SIPIGI PICHA ZA UTUPU KUTAFUTA UMAARUFU: KOLETHA RAYMOND
Reviewed by crispaseve
on
11:52
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
11:52
Rating:


Post a Comment